Thursday, April 18, 2013

Camera na Vinasa sauti vyanaswa kikao cha mafunzo ya CHADEMA...!!

Wakuu baada ya jana Dr. Slaa kufungua na kushiriki semina ya kuandaa mafunzo kwa walimu wa chama ukumbi uliopangwa kutumiwa na CHADEMA umegunduliwa kufungwa kamera za kunasa sauti na picha ambazo zimewekwa rasmi kwa ajili ya kunasa shughuli zote zinazofanywa na CHADEMA katika ukumbi huu.

Baada ya kugundua jambo hilo, viongozi wa chama walitoa taarifa kwa uongozi wa hotel. Lakini baada ya kuona kwamba hakuna hatua zinazochukuliwa basi mbinu za medani zimetumika kuzuia kamera hizo kufanya kazi.
Wao wanaweza kutega sisi tunaweza kutegua.
Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger