Friday, February 15, 2013

ANGALIA JINSI WAFUASI WA SHEIKH PONDA WALIPORUKISHWA KICHURACHURA WAKATI WA MAANDAMANO YAO LEO..!!

Baadhi ya waumini wa Dini ya Kiislamu wakirushwa kichura leo Katika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Dar es Salaam walipokamatwa kwa tuhuma za kuandamana kushinikiza Sheikh Ponda aachiwe kwa dhamana.
Askari Kanzu akiwa amemkamata muumini wa Dini ya Kiislamu katika pilikapilika za kudhibiti maandamano ya kushinikiza Mahakama imuachie kwa dhamana Katibu wa Taasisi na Jumuiya za Kiislamu, Sheikh Issa Ponda, Dar es Salaam

Baadhi ya watuhumiwa wa maandamano hayo wakipandishwa kwenye gari la Polisi baada ya kukamatwa.
Mmoja wa maaskari wakifunga kamba iliwaandamanaji wasiingie Makao Makuu ya jeshi hilo,

Askari wa kudhibiti ujambazi wakiwa kwenye doria kusaidia kudhibiti maandamano.
Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger