Friday, January 18, 2013

VIDEO: HIII NDIO DAWA YA WEZI WA WANAUME WA WATU..



Mwanamke mmoja Nchini SOUTH AFRIC A alikuta akiingia matatani mara baada ya kunaswa na mume wa mtu, taarifa zaidi zinadai ya kuwa mwanamke huyo alikuwa na uhusiano wa sirir na mume wa mtu huyo na mara nyingi amekuwa akitoka naye mara kwa mara, SIKU za mwizi Arobaini kama wahenga wasemamavyo, kwani kilichomkuta dada huyo hatakaa asahau katika maisha  yake yote..

SIku ya Tukio mwenye mume hakuwepo na hivyo mgoni huyo wa kike ndipo alipotumia nafasi hyo nzuri kujivinjari na mume wa mtu huyo.... Mara ghafla mwenye mume alipofika ndipo alipowanasa live WAGONI hao, na kwa hasira isiyo na kifani aliamua kumvua NGUO hadharani na kuanza kumchapa kama mtoto mdogo;

ANAGALIA VIDEO  HAPO CHINI...



husband snatcher by ReportGhanaNews
Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger