Monday, December 17, 2012

DUUH!! BABY MADAHA ANUNUA MAKALIO YA ‘BANDIA’



AISEE! Muigizaji ambaye pia ni msanii wa Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha juzikati alinaswa akifanya shopping ya makufuli ambayo akiyavaa, anaonekana kuwa na makalio makubwa.


Baby Joseph Madaha akijaribu makalio ya bandia.
Katika shopping hiyo iliyofanyika katika duka moja lililopo maeneo ya Manyanya- Kinondoni jijini Dar, ‘kachala’ wa Wikienda Star Shopping alimshuhudia Baby Madaha akitungua makufuli hayo kadhaa.
...akiwa na makalio mengine ya bandia.
“Napenda sana makufuli yanayoweka shepu nzuri na huwa nafanya shopping hiyo mara mbili kwa mwezi,” alisema Baby Madaha na kuongeza:
Makalio ya bandia aliyonunua Baby Madaha.
“Mbona siyo tatizo kwa msichana kama mimi kununua nguo hizi, kwanza makalio haya hayana madhara so navaa kwa raha zangu.”
Kwa mujibu wa muuzaji wa duka hilo, Baby Madaha alilipa shilingi laki moja na elfu ishirini na tano kununua viwalo hivyo.
...akichagua makufuli.
Baby Madaha akilipa baada ya shopping hiyo.
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger