Tuesday, November 20, 2012
"USIRUDIE TENA KUNIBEBEA MUME WANGU"....HUU NI UJUMBE WA AUNT LULU ALIPOKUWA AKIVUNJA AMRI YA SITA
Mwanadada Mwenye Skendo Nyingi Magazetini Aunty Lulu Ameweka Picha Akiwa na Mvulana anae dai ni Mpenzi wake na Kuandika Status ya Kupiga Mkwara inayosema "USIRUDIE TENA KUNIBEBEA MUME WANGU"
Limekuwa ni jambo la kawaida kwa aunt lulu kubadilisha wanaume kama nguo........
Hivi karibuni alikumbwa na kashfa ya mwaka baada ya kutimuliwa alikokuwa amepanga kisa kikiwa ni kufanya mapenzi chooni hali iliyomfanya akajihifadhi GEST HOUSE kwa muda
Weka Maoni yako Hapa
0 comments:
Post a Comment