Friday, November 16, 2012

NGUO ZA NDANI ZAHARIBU MAKALIO YANGU- AUNTY LULU



MSANII asiyeishiwa na matukio, Lulu Mathias ‘Aunt Lulu’ amefunguka kwamba kuharibika kwa mwili wake hasa kwenye makalio kumetokana na kuvaa
nguo za ndani aina ya ‘bikini’ ambazo zimechimba mistari.

Akizungumzia tabia ya mastaa wengi kutokuvaa ‘makufuli’ wanapokuwa kwenye mitoko, Aunty Lulu alisema kuwa, hiyo inatokana na jinsi zinavyowaathiri sehemu zao ‘muhimu’ na kwamba yeye ni mmoja wa waathirika.
“Kwa kweli hizi nguo za ndani hasa bikini zinatuharibu sana hasa sisi tuliojaaliwa  kuwa na maumbile makubwa, nilikuwa navaa lakini kwa kweli zimenichimba sana kiasi cha kuniharibu na kupoteza mvuto wangu, sivai tena…nitaangalia ustaarabu mwingine,” alisema msanii huy
o.
Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger