Sunday, November 25, 2012

MGAMBO DAR WABOMOA BAR USIKU WANYWAJI WAKIWA NDANI

Baadhi ya vitu vikiwa nje ya baa hiyo
Dada mmoja ambaye ni mhudumu wa baa hiyo akichomolewa na Wasamaria wema  kutoka katika kifusi.
Mwandishi wa Global Publishers, Issa Mnally, akiangalia baadhi ya vitu vilivyoharibika.
Mmiliki wa baa hiyo Bi Salma Matola akikagua mabaki ya jengo hilo.
Baadhi ya watu wakijadiliana juu ya tukio hilo huku vinywaji vikiwa nje
Bi Matola akiwa haamini  kilichotokea.
WANYWAJI katika baa moja iliyoko Tazara Magorofani, Manispaa ya Temeke, walinusurika kifo, baada ya mgambo wa manispaa hiyo kuivamia na kuanza kuibomoa mnamo saa 8.30 usiku wa kuamkia leo.

Wavunjaji hao walifika eneo hilo bila hata kuongozana na  mjumbe wala mwenyekiti wa serikali ya mtaa husika na hawakuwa na barua yoyote  ya kuelekeza  uvunjaji wa baa hiyo ambamo kulikuwa na watu waliokuwa wakipata vinywaji.
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger