Saturday, November 24, 2012

HUU NI MPOROMOKO WA MAADILI MASHULENI!!








Dunia  imebadilika  sana.Umewahi  kujiuliza ni  kwa nini  mtoto  wa form two  hawezi  kukusalimia  SHIKAMOO?? na badala yake atakwambia "MAMBO..!!!"????.......
Akupe  shikamo ya nini na wakati na yeye anajiona   mkubwa ? Maana yangu ni kuwa hakuna  asilolijua. Kama ni KISS anaijua, kama  ni MAPENZI anajua.hahahahhahah...!!!
Picha Za Wanafunzi wakifanya VituAjabu sasa zimesambaa kute Mtandaoni...Sujui Tunaenda Wapi sasa loooooo
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger