Sunday, November 18, 2012

AY ATAJWA KUWA MSHINDI WA AFRICAN EAST VIDEO OF THE YEAR "CHOMVA2012"


AY ndio msanii pekee kutoka TANZANIA (East Africa) aliyenyakuwa tuzo ya Channel O Music Video Award kwa mwaka huu 2012 katika kipengele cha MOST GIFTED AFRICAN EAST VIDEO OF THE YEAR. Video iliyochukuwa tuzo hiyo ni I DON'T WANT TO BE ALONE akiwa amewashirikisha wasanii kutoka Nairobi Kenya wanakwenda kwa jina la Sauti Sol.

HONGERA  "AY"
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger