Wednesday, October 24, 2012

PICHA nyingine za Rayuu akiwa mtupu zapatikana, mwenyewe apigwa na BUTWAA



Baadhi ya picha za chafu za Rayuu zilizosambaa mitandaoni.

Rayuu amedai kuwa hajui lolote kwani picha hizo zipo kwenye simu yake iliyopotea na hajua ni nani anayezisambaza ingawa aanaamini kuwa anayefanya hivyo ana nia mbaya ya kumchafua. Msanii huyo anafanya vizuri kwenye tasnia ya filamu ni msanii ambaye hajawahi kukumbwa na matukio kama haya awali.

“Jamani mimi sieliwi hizo picha zinatoka kwa nani, najua ndiyo kwenye simu yangu nilikuwa na picha hizo na baada ya kupotea sijui nani anayefanya upuuzi huo, nilipiga hizo picha kwa upendo wangu lakini sikuwa na maana zitoke na kusambaa mitandaoni,” alisema kwa hasira
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger