Diamond Platinumz anaendelea kupaa katika ulimwengu wa muziki kimataifa ambapo mwaka huu pia nyota yake imeng’aa kwenye tuzo kubwa za Black Entertainment Television (BET 2016).
Mwimbaji
huyo ametajwa kuwania kipengele cha Best International Act: Africa
akichuana na wasanii wengine nguli Afrika ambao ni pamoja na AKA kutoka
Afrika Kusini, Cassper Nyovest wa Afrika Kusini Black Cofee wa Afrika
Kusini, Yemi Alade wa Nigeria, Wizkid wa Nigeria, Mzvee wa Ghana na
Serge Beynaud wa Ivory Coast.



































Mwingine aliandika: “Nadhani Penny angejiweka tu pembeni awaache hawa wawili, ni mastaa kwa fani zao, yeye angeendelea tu na kazi yake ya utangazaji. Kwanza kwake ni maumivu tu kuwa na msanii ambaye ana shughuli nyingi za kisanii, bora wale wenyewe wanajuana.”


