Mwonekano
wa Basi la Hbs Express mara Baada ya kupata Ajali katika Eneo la Maji
Mazuri katika Barabara ya kutoka Mbeya kwenda Chunya
| Wasamalia wema wakiokoa watu waliokuwa wamenasa ndani ya Basi hilo |
| Askari wa Usalama Barabarani akitoa maelezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amosi Makalla mara Baada ya kufika katika eneo la Ajali |
| Wananchi wakiwa wamembeba Mmoja wa walionusurika katika Ajali Hiyo |
| Baadhi ya vijana wakiwa wanachimba shimo ili kuweza kutoa mwili wa mmoja wa Abiria aliyekuwa ameminywa na Basi hilo. |
| Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amosi Makalla akimpa pole mama na Mwanae walionusurika katika Ajali Hiyo katika Hospitali ya Rufaa. |
0 comments:
Post a Comment