Akihojiwa
na Sauti ya America leo Tundu Lissu kasema kujiuzuru kwa Dr Slaa
kumesababishwa na kukosa nafasi ya Urais.Shinikizo limetoka kwa mkewe
kwani alikuwa amejiandaa kuwa firstlady.
Kuhusu
kuachana na siasa toka July TL kasema Dr Slaa ni Mwongo maana amechukua
mshahara wa mwezi August na amekuwa akitumia Ulinzi pamoja na Gari la
chama
0 comments:
Post a Comment