Thursday, July 23, 2015

Jinsi 'trafiki' wa Congo wanavyosimamisha magari na pikipiki....LOL!


Hawa ni askari wa usalama barabarani Congo. Kwenye picha sio kwamba wanatekeleza sheria za usalama barabarani, hivi ndivyo wanavyosimamisha magari na pikipiki ili wachukue rushwa,lol! Inasemekana Nigeria nao wamo wamo lakini hawaingii ndani kwa wakongo. Kuonyesha kuwa hiki ni kitu cha kawaida kwao hata watu waliopo maeneo hayo hakuna anayewashangaa...
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger