Maelfu ya wananchi jana walijitokeza kuwapokea wanachama wapya kutoka Chama Cha Mapinduzi CCM ambao ni Mzee James Lembeli na Easter Bulaya ambao wamekihama chama Chama cha Mapinduzi kwa madai mbalimbali ikiwemo kuhujumiwa.
Aidha, Dk. Wildroad Slaa na Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe nao walikuwepo pamoja na wanachama wengine akiwemo Mbunge wa Kawe Halima Mdee.
Katika hatua nyingine Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe aliwakabidhi rasmi kadi za uanachama wanasiasa hao wapya ambao ni James Daudi Lembeli na aliyekuwa Mbuge wa Kuteuliwa mkoani Mara, Ester Amos Bulaya
Waliokuwa wabunge wa CCM, Mzee James Lembeli (kulia) na Easter Bulaya wakiwa katika mkutano wa Chadema leo jijini Mwanza.
Marafiki wawili, Easter Bulaya akifurahia jambo na Halima Mdee.
Viongozi wa Chadema baada ya kufika kwenye uwanja wa mkutano.
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Willbrod Slaa akiwasalimia wananchi mkutanoni.
0 comments:
Post a Comment