Friday, February 15, 2013

TETESI ZA KFO CHA GOLDIE MSANII KUTOKA NIGERIA ZASHTUSHA WENGI...



Hivi punde tumepata habari kutoka kwa chanzo chetu makini kilichopo nchini NIGERIA kuwa kuna tetetsi zinazodai kuwa Msanii maarufu Nchini humu GOLDIE amefariki dunia .

Rafiki wa karibu wa msanii GOLDIE aitwaye Denrele Edun amethibisha habari hizo kwa kudai ya kuwa “He told me Goldie died a few minutes ago in his arms at Reddington Hospital in Victoria Island.”
 Bado tunaendelea kufuatilia undani wa habari hii, Endelea kuwa nasi........
Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger