Tuesday, February 19, 2013

AIBU: BINTI AVUA NGUO HADHARANI NA KUPARAMIA WANAUME BAR, KISA POMBE...!!



Yanayo tendeka Nightclub ni haramu kwa kuwa sehemu nyingi za VIP katika  klabu mbalimbali yanayotendeka huko ni aibu tupu. Huwezi kujua kamwe nini kinatendeka sehemu hizo mpaka uambiwe. Sehemu za VIP kwenye Club nyingi zimekuwa marufuku kwa sababu baadhi ya watu wameamua kuvunja sheria na kuzitumia ovyo sehemu hizo. Mamlaka husika inapaswa kulifuatilia swala hili kwa ukaribu na kuwachukuria hatua ware wote wanao fanya mambo kinyume na taratibu .
Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger