Sunday, January 13, 2013

‘DULLY SYKES’ AOMBA RADHI MASHABIKI WAKE KUFUATIA TUHUMA ZINAZOMKABILI BAUNSA WAKE ‘ARAFAT NGUMI JIWE’ ZA KUMLAWITI MTOTO…!!

 http://dartalk.com/wp-content/uploads/2013/01/dully.jpg

BAADA ya tuhuma chafu zinazomkabili baunsa wa msanii Dully Sykes , anayefahamika kama Arafat Ngumi Jiwe, za kumlawiti mtoto, sasa msanii huyo ameamua kuwambia mashabiki wake kuwa amesitishwa na ishu hiyo kwani alikuwa hajui kama jamaa ana tabia hiyo chafu hivyo anawasihi watanzania wote kujua kwamba hajui lolote juu ya hilo na kwa sasa hawezi kuendelea kufanya naye kazi ili kujitoa kwenye ishu hiyo chafu.

Tuhuma za baunsa huyo kumlawiti mtoto zinaweza kuwa na picha mbaya kwa msanii huyo kwani watu wamemfahamu bausa huyo kupitia Dully, hivi sasa anatafuta mtu mwingine ambaye anaweza kuchukua nafasi hiyo.
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger