Wednesday, December 5, 2012

WAREMBO WACHAPANA MAKONDE HADHARANI KWA KUGOMBANIA 'BWANA'!!

Katika hali ya kushangaza kabsa CAMERA yetu ya GUMZO LA JIJI LEO imekutana na kimbwanga kizito mara baada ya kuwafumania wadada wawili walionekana kuwa mahasimu wa muda mrefu wakichapana makonde LIVE  huku kila mmoja akitishia UHAI wa mwezake.


Hata hivyo baada ya kufuatilia kwa kina mkasa huo mwandishi wetu alibahatika kuwahoji wadada hao na kupata ukweli wa mambo kama ifuatavyo:

Mwanadada wa kwanza ambaye alisita kutaja jina lake alidai kuwa nimuda mrefu sasa tangu aanze kusikia Mpenziwe akijivinjari na vimada wengine wa nje bila ya yeye kujua.
Na alipojaribu kufuatilia ndipo alipowakuta wawili hao wakichanua bila ya habari yeyote na ndipo aliposhikwa na hasira na kuanza kumuangushia kipigo cha mbwa mwizi mwananmke huyo ambaye alimnasa LIVE akipombeka na Mpenziwe ambae anadai wameishi wote kwa kipindi kirefu sasa....


MAONI: 

Mimi nadhani njia ambayo aliitumia mwanadada huyu sio nzuri kwani chanzo cha mpenziwe kutoka na wanawake wengime ni kosa la mke mwenyewe, ilibidi amuite mpenziwe na kuongea nae na sio kusababisha vurugu  na aibu mbele ya JAMII.
Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger