Monday, November 12, 2012
PICHA: NYATI AZAA MTOTO ANAYEFANANA NA BINADAMU!!!
MKASA huo umetokea Nchini THAILAND ambapo Mnyama aina ya Nyati alizaa mtoto ambaye anafanana kabisa na binadamu killa kitu, Katika hali isiyotarajiwa na wengi NYATI huyo aliwaacha midomo wazi watu wengi ambao walikwenda kushuhudia MKASA huo.
Weka Maoni yako Hapa
0 comments:
Post a Comment