Thursday, October 11, 2012
Angalia VIDEO... ..UVCCM Mara WAKIPIGANA katika Uchaguzi
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, uchaguzi wa jumuiya ya umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi UVCCM mkoani Mara, umeingia dosari baada ya kuzuka vurugu kubwa za kurushiana ngumi, viti, mawe na silaha mbalimbali za jadi ndani ya ukumbi wa mkutano jambo ambalo limesababisha mkutano huo kuvunjika kwa muda.
Weka Maoni yako Hapa
0 comments:
Post a Comment